Driver's Needed/Madereva wanahitajika - Leseni ya Daraja E na cheti cha VETA au NIT - Uzoefu wa angalau miaka 4 kuendesha tipa au kontena - Umri wa miaka 25+ - Ujuzi wa sheria za barabarani na matengenezo ya magari Faida: - Mshahara wa kuanzia TZS 800,000 na bonasi - Malipo ya kazi ya ziada (overtime) - Nafasi za kupanda vyeo