Tarehe ya mwisho kuomba: 27/5/2026
Tunatafuta binti mwenye sifa za kutosha kuuza katika duka la vifaa vya ujenzi (hardware).
Amehitimu Kidato cha 4 au Kidato cha 6.
Ana ujuzi wa kuendesha hesabu.
Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea.
Anaishi maeneo ya Madale, Wazo, Kulangwa au maeneo ya jirani.
Wenye uzoefu wa kazi katika duka la vifaa vya ujenzi watapewa kipaumbele.
Waombaji wanapaswa kutuma maelezo mafupi (bio) yao kupitia WhatsApp au ujumbe mfupi kwa namba:
0760171925