Mfanya Usafi The School of St Judes Arusha, Tanzania
Job Type: Full-Time
Closing Date: 3rd July 2026
Location: Arusha, Tanzania

Tangazo la Kazi: Mfanya Usafi (Kampasi ya Sisia, Moshono, Arusha)

Kuhusu St Jude

Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude's inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.

Shule ya St. Jude inayofuraha kutangaza nafasi ya kazi ya mfanya usafi kwa watanzania wenye sifa stahiki.

Kazi na Majukumu:

Sifa za Mwombaji:

Vigezo na Masharti:

Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu:

Jinsi ya Kuomba:

Maombi yawasilishwe katika Shule ya St. Jude Moshono Kampasi ya Sisia kabla au mnamo Ijumaa, tarehe 3 Julai 2026. Maombi yatakayowasilishwa baada ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.

TUTAWASILIANA NA WALE WATAKAOKIDHI VIGEZO NA SIFA KWA AJILI YA MAHOJIANO!

ANGALIZO:

TAFADHALI KUWA MAKINI NA MATENDO YA UDANGANYIFU KATIKA MATANGAZO YA KAZI NA MCHAKATO WA AJIRA. SHULE YA ST JUDE HAIOMBI MALIPO KATIKA HATUA YOYOTE YA MCHAKATO WA KUAJIRI. MAOMBI YOYOTE YA MALIPO YAKATALIWE NA KURIPOTIWA KWA MAMLAKA YA UTEKELEZAJI WA SHERIA ZA MITAA KWA HATUA STAHIKI.