Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Taasisi THE NATIONAL SPIRITUAL ASSEMBLY OF THE BAHA'IS OF TANZANIA Kiziba Village, Kigoma Rural District, Kigoma Region, Tanzania
Job Type: Full-Time
Closing Date: 30th October 2023
Location: Dar es Salaam, Tanzania

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

NAFASI - 1: Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Taasisi.

1. Utangulizi

Baraza la Kiroho la Kitaifa la Wabaha’i wa Tanzania ni taasisi ya dini iliyo na usajili rasmi wa kutekeleza shughuli zake za kidini hapa Tanzania. Baraza linatangaza nafasi moja ya kazi ya Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Taasisi. Lengo la nafasi hii ni kuhakikisha kuwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi unafanyika kwa ubora unaotakiwa, kwa wakati, na kwa kuzingatia bajeti, sheria, pamoja na taratibu zote husika za ujenzi. Mradi huu unatekelezwa katika Kijiji cha Kiziba, Wilaya ya Kigoma Vijijini, Mkoa wa Kigoma.

2. Majukumu Makuu

Msimamizi wa Mradi atakuwa na wajibu wa:

3. Sifa za Mwombaji

4. Ujuzi na Uwezo Binafsi

5. Masharti ya Ajira

6. Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wenye sifa wanatakiwa kuwasilisha:

7. Maelezo ya Ziada

Ni waombaji waliokidhi vigezo watakaowasiliana kwa hatua zinazofuata za usaili.