Wakala wa Huduma ya Faiba Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) Tanzania
Job Type: Full-Time
Closing Date: 30th October 2023
Location: Dar es Salaam, Tanzania

FURSA YA KAZI

WAKALA WA USAJILI HUDUMA YA FAIBA

TTCL Corporation

Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL Corporation linakaribisha vijana wenye uwezo kwa ajili ya kazi ya Uwakala wa usajili wa wateja wa Faiba katika jiji la Dar es salaam.

1. SIFA ZA WAOMBAJI

2. TARATIBU ZA MAOMBI

Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia 0222 100 100 au barua pepe: dg@ttcl.co.tz