Dereva II
Kiswahili
Viewed Job:

Dereva II

full-time

Dereva II

Tea Board of Tanzania (TBT)

Website

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii.Kuwapeleka watumishi kwenye maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;  

iii.Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv.Kutunza na kuandika safari zote katika daftari la safari “Log-book”; 

v.Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

vi.Kutoa ushauri wa kiufundi  kuhusu usalama na uendeshaji wa gari; 

vii.Kufanya usafi wa gari; na

viii.Kufanya kazi nyingine kama atakavyopangiwa na kiongozi wake zinazohusiana na elimu na ujuzi wake wa kazi. 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja la E au ajira C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria Mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wenye Cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.

REMUNERATION: TGS B

 

More Jobs From This Company

Overview

  • Location: Tanzania
  • Job Title: Dereva II
  • Application Deadline: 2021-09-21
Apply Here


Sharing is caring

×

Login

×

Apply Now

Please choose how you are going to apply for this post


×

Apply Now