Air Condition and Refregiration system
Kiswahili
Viewed Job:

Air Condition and Refregiration system

full-time

Air Condition and Refregiration system

Tannesco

No Website

Eliud Samson 

0767438907

Dodoma

Veyula

13 July 2021

Manager

Tannesco

S.l.P 904

Dodoma 

YAH: MAOMBI YA KAZI 

 Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi naitwa Eliud Samson Nina umri wa miaka 23 na ajira ninaishi Dodoma Veyula lengo langu nilikuwa naomba kazi katika kampuni kwa sababu mimi nibobea katika mfumo wa umeme Air Condition and Refregiration system nimesoma Veta Kihonda Morogoro miaka miwili na pia elimu ya ni ya secondary Form kwa alama ya division four ya 31 hivo basi naomba sana kupewa ajira kwa sababu mimi ni mchapakazi na nitafanya kwa uaminifu wote bila kwenda kinyume 

Ni faraja sana kwangu endapo ombi langu litajibiwa 

Wako mtiifu 

E.Samson

 

More Jobs From This Company

Overview

  • Location: Dodoma
  • Job Title: Air Condition and Refregiration system
  • Application Deadline: 2021-05-28
Apply Here


Sharing is caring

×

Login

×

Apply Now

Please choose how you are going to apply for this post


×

Apply Now