Madereva Magari Makubwa
Kiswahili
Viewed Job:

Madereva Magari Makubwa

full-time

GALCO LIMITED

Website

MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 80)

GALCO Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani nan je ya nchi.

GALCO Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, USOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi.

Waombaji wa nafasi hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo wakizingatia vigezo vikuu kumi vilivyotajwa hapa chini;

 • Umri usiopungua miaka 25 na usiozidi miaka 45
 • Elimu ya kidato cha nne na kuendelea
 • Cheti cha ujuzi wa udereva wa magari makubwa kutoka NIT/VETA
 • Cheti kinachomruhusu dereva kubeba mizigo na bidhaa mbalimbali kwa malori
 • Barua ya uhakiki alama za vidole kutoka polisi
 • Afya inayostahimili safari za nje na ndani ya nchi
 • Nyaraka za kusafiria (Passport Kubwa)
 • Uwezo wa kusoma na kuandika kwa ufasaha
 • Uzoefu wa kuendesha magari makubwa usiopunuga miaka mitano
 • Leseni ya udereva ajira yenye sifa ya kuendesha magari makubwa

Maombi yote yaletwe ofisini kwetu kuanzia tarehe 26-08-2021 kwa njia ya mkono na kukabidhiwa kwa walinzi wetu, na kujaza kwenye fomu maalumu. Ofisi zetu zipo Shimo la Udongo, kiwanja namba 2084, Mandela Road Kurasini, Mkabala na maegesho ya magari shimo la udongo. Maombi yote yaelekezwe kwa

Meneja Rasilimali Watu

GALCO LIMITED

S.L.P 6244, DAR ES SALAAM

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 23-09-2021

Zingatia – Muhimu

 1. Watakaochaguliwa watapigiwa simu na Ofisi kwa mchakato Zaidi
 2. Epuka kutapeliwa fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata upendeleo wa ajira ndani ya GALCO LIMITED.
More Jobs From This Company

Overview

 • Location: Dar es Salaam, Tanzania
 • Job Title: Madereva Magari Makubwa
 • Application Deadline: 2021-09-23
Login to Quick Apply

Apply For This Job

Upload your CV (optional) Max. file size: 5MB
No file selected


Sharing is caring

×

Login

×

Apply Now

Please choose how you are going to apply for this post


×

Apply Now