Geniuslink Electronics
Tangazo la Kazi: Mfanyakazi wa Computer Sales, Technician & IT Support
Nafasi ya Kazi:
Computer Sales, Technician & IT Support Officer
Mahali pa kazi:
ARUSHA
Majukumu ya Kazi:
Kuuza vifaa vya computer (laptop, desktop, printer, accessories n.k)
Kushauri wateja kuhusu vifaa sahihi kulingana na mahitaji yao
Kutengeneza computer na printer (hardware & software issues)
Kufanya installation za:
Windows na Linux
Software muhimu (MS Office, Antivirus n.k)
Kusaidia wateja kwa IT support:
Network ndogo (LAN, WiFi)
Email na basic system support
Kuchunguza na kurekebisha matatizo ya computer (fault diagnosis & troubleshooting)
Kuhakikisha vifaa vinakuwa katika hali nzuri kabla ya kuuzwa
Kuweka kumbukumbu za mauzo na matengenezo
Kufanya kazi kwa uaminifu na kutoa huduma bora kwa wateja
Sifa za Mwombaji:
Awe na elimu ya Computer / IT (Certificate, Diploma au uzoefu wa kazi)
Awe na ujuzi mzuri wa:
Computer hardware
Software installation
Printer & network basic
Awe na uwezo wa kuwasiliana vizuri na wateja
Awe mwaminifu, mchapakazi na awe tayari kujifunza
Awe na uzoefu wa angalau miezI 6
Awe anaweza kufanya kazi kwa kujitegemea bila kusimamiwa sana
Jinsi ya Kuomba:
Tuma CV yako kupitia:
Simu/WhatsApp: 0763078574
Barua pepe: kwaymohammad@gmail.com
Au fika moja kwa moja katika ofisi yetu: stand kubwa
Mwisho wa kupokea maombi: 10 nov 25
Eneo la kazi Arusha
Aina ya biashara duka