Muuzaji wa Duka KIM ELECROVAC JUNCTION Kivule - Ilala, Dar es Salaam
Part-Time
25th June 2025

Anahitajika Kijana wa Kitanzania.

Umri: Miaka 18 - 24

Mkazi: Kitunda, Kivule

Wilaya: Ilala

Jinsia: Yoyote (Kike itapatiwa kipaumbele)

Aina ya Kazi: Kuuza Duka la vifaa vya Umeme

Sifa za muombaji: Aweze kusoma kuhesabu fedha na kuandika, awe na uelewa juu ya vifaa vya umeme.

Mshahala kwa mwezi: Makubaliano

Namba ya mawasiliano: 0744024825

 

Sponsored Listing
Company Logo
Career Guidance Counsellor Sisia Campus, Moshono, Arusha, Tanzania

Career Guidance Counsellor