Find jobs in tanzania easily and apply, all you need is to build your profile
English
Unaangalia:

Air Condition and Refregiration system

full-time

Air Condition and Refregiration system

Tannesco

Hakuna Tovuti

Eliud Samson 

0767438907

Dodoma

Veyula

13 July 2021

Manager

Tannesco

S.l.P 904

Dodoma 

YAH: MAOMBI YA KAZI 

 Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi naitwa Eliud Samson ajira Nina umri wa miaka 23 na ninaishi Dodoma Veyula lengo langu nilikuwa naomba kazi katika kampuni kwa sababu mimi nibobea katika mfumo wa umeme Air Condition and Refregiration system nimesoma Veta Kihonda Morogoro miaka miwili na pia elimu ya ni ya secondary Form kwa alama ya division four ya 31 hivo basi naomba sana kupewa ajira kwa sababu mimi ni mchapakazi na nitafanya kwa uaminifu wote bila kwenda kinyume 

Ni faraja sana kwangu endapo ombi langu litajibiwa 

Wako mtiifu 

E.Samson

 

Kazi Nyingine Kutoka Kampuni hii

Muhtasari

  • Mahali: Dodoma
  • Jina la Kazi: Air Condition and Refregiration system
  • Mwisho wa Maombi: 2021-05-28
Fanya Maombi Hapa


Shirikisha Wengine

×

Ingia

-->
×

Tuma Maombi Sasa

Tafadhali chagua njia ya kutuma maombi


×

Tuma Maombi Sasa