Nafasi za kazi Dar es Salaam

Fursa za Kazi Dar es Salaam

Dar es Salaam ndio kitovu cha biashara Tanzania. Hapa utapata nafasi za kazi kutoka sekta mbalimbali kama vile Benki, Viwanda, TEHAMA, na Mashirika ya Kimataifa yaliyopo jijini.